Willian (kushoto) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 43 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa The John Smith's West Yorkshire. Mabao mengine ya The Blues yalifungwa na Tiemoue Bakayoko dakika ya 23 na Pedro dakika ya 50, wakati la Huddersfield Town lilifungwa na Laurent Depoitre dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Newcastle's Hall keen on Man Utd switch - Friday's gossip
-
Manchester United keen on wantaway Newcastle left-back Lewis Hall, Spanish
giants close in on Bernardo Silva, Real Madrid target Manchester City's
Josko Gv...
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment