Gareth Bale akishangilia baada ya kufungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 81 ikiichapa 2-1 Al-Jazira katika mchezo wa Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA leo Uwanja wa Sheikh Zayed Sports City mjini Abu Dhabi, Falme za Kiarabu. Romarinho alianza kuifungia Al-Jazira dakika ya 41, kabla ya Cristiano Ronaldo kuisawazishia Real dakika ya 53. Real sasa itakutana na Gremio ya Brazil katika fainali Desemba 16, mwaka huu Uwanja wa Zayed Sports City mjini Abu Dhabi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Newcastle's Hall keen on Man Utd switch - Friday's gossip
-
Manchester United keen on wantaway Newcastle left-back Lewis Hall, Spanish
giants close in on Bernardo Silva, Real Madrid target Manchester City's
Josko Gv...
9 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment