Leon Goretzka akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao mawili jana dakika za nane na 66 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Azerbaijan kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Fritz-Walter mjini Kaiserslautern. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Sandro Wanger dakika ya 54, Antonio Rudiger dakika ya 64 na Emre Can dakika ya 81, wakati la Azerbaijan limefungwa na Ramil Sheydaev dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Fundamental human rights and democratic freedoms (4)
-
INTRODUCTION In our last discourse on this series, we examined the
procedure for enforcement of fundamental rights, including applications for
leave; as ...
41 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment