• HABARI MPYA

  Tuesday, September 05, 2017

  UJERUMANI YAIFUMUA 6-0 NORWAY KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Mario Gomez akishangilia baada ya kuifungia bao la sita Ujerumani dakika ya 79 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Norway jana kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika Uwanja wa Mercedes-Benz-Arena mjini Stuttgart. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Mesut Ozil dakika ya 10, Julian Draxler dakika ya 17, Timo Werner mawili dakika za 21 na 40 na Leon Goretzka dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAIFUMUA 6-0 NORWAY KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top