• HABARI MPYA

  Tuesday, September 05, 2017

  ENGLAND YAMALIZA KILELENI KUNDI F KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi England dakika ya 59 ikiilaza Slovakia 2-1 katika mchezo wa Kundi F kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika Uwanja wa Wembley jana usiku. Stanislav Lobotka alianza kuifungia Slovakia dakika ya tatu kabla ya Eric Dier kuisawazishia England dakika ya 37 na ushindi huo wa sita unaihakikishia Three Lions itamaliza kileleni mwa kundi hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND YAMALIZA KILELENI KUNDI F KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top