Paulinho akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 84 ikiwalaza wenyeji, Getafe 2-1 Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez katika mchezo wa La Liga. Gaku Shibasaki alianza kuwafungia wenyeji dakika ya 39 kabla ya Denis Suarez kuisawazishia Barca dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Colorado's Deion Sanders weighs in on wagering as gambling scandal ripples
through college football
-
DENVER (AP) — Nobody has lived on the edge of the risk-reward nature of
sports more than Deion Sanders over the years.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment