• HABARI MPYA

    Monday, March 13, 2017

    AZAM NA MBABANE KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akifumua shuti katikati ya mabaki wa Mbabane Swallows ya Swaziland kuifungia bao pekee timu yake usiku wa jana katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika  
    Ramadhani Singano 'Messi' akimiliki mpira mbele ya beki wa Mbabane, Sanele Mkweli 
    Beki wa Azam, Shomary Kapombe akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Mbabane Swallows
    Mshambuliaji Mghana wa Azam, Yahya Mohammed akiruka juu kupiga kichwa dhidi ya wachezaji wa Mbabane Swallows
    Nahodha na kiungo wa Azam, Himid Mao (kulia) akimiliki mpira
    Kinda wa Azam, Shaaban Iddi akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Swallows 
    Kiungo wa Azam, Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwahi mpira dhidi ya kiungo wa Mbabane, Mkongo Kabamba Tshishimbi 
    Kocha wa zamani wa Yanga, Hans van der Pluijm jana alkikuwepo Chamazi kutazama mechi
    Kikosi cha Mbabane Swallows kabla ya mchezo wa jana
    Kikosi cha Azam FC kabla ya mchezo wa jana Chamazi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM NA MBABANE KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top