Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 81 ikiilaza 2-1 Real Betis usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Betis walitangulia kwa bao la Antonio Sanabria dakika ya 24, kabla ya Cristiano Ronaldo kuisawazishia Real Madrid dakika ya 41 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment