Wanachama wa Yanga wakiusalia mwili wa kiongozi wao wa zamani, Yussuf Mzimba aliyefariki dunia jana mjini Dar es Salaam. Ibada hiyo ilifanyika nyumbani kwa mwanawe mkubwa, Khalid Magomeni Kwa Bi Nyau, Dar es Salaam leo mchana kabla ya safari ya kuusafirisha mwili huo kwenda Msoga, Chalinze kwa mazishi
Mchezaji wa zamani wa Yanga, Abeid Mziba (kulia) akiwa amebeba jeneza
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega (kushoto) alikuwepo msibani
Mzee maarufu wa Yanga, Ibrahim Akilimali (kushoto) alikuwepo pia
Mwanachama maarufu, Juma Magoma (kulia) alikuwepo pia
Wanachama wa Yanga wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu
Jeneza la marehemu likipakizwa kwenye gari tayari kwa safari ya Msoga kwa mazishi
Mbunge wa zamani wa Kinondoni na kiongozi wa zamani wa Simba, Iddi Azzan (wa pili kulia) alikuwepo msibani
Isak finally arrives as Gakpo proves value to Liverpool
-
Has the real Alexander Isak finally arrived at Liverpool after his two-goal
display in their Premier League win at Ipswich Town, asks chief football
writer...
1 hour ago


.png)
0 comments:
Post a Comment