Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane akimlamba chenga kipa wa AFC Bournemouth, Artur Boruc kuwafungia bao la kwanza Wekundu hao wakilala 4-3 Uwanja wa Vitality leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Divock Origi na Emre Can wakati ya wenyeji yalifungwa na Callum Wilson kwa penalti, Ryan Fraser, Steve Cook na Nathan Ake PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup What to Watch: Round of 32 gets underway as Canada takes on South
Africa
-
The winner will play Morocco or the Netherlands in the Round of 16.
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment