Kiungo wa Manchester United, Marouane Fellaini akimchezea rafu Idrissa Gueye wa Everton dakika mbili tu baada ya kuingia akitokea benchi na kusababisha penalti ambayo ilikwenda kufungwa na Leighton Baines kuwapatia The Toffees bao la kusawazisha dakika ya 89, baada ya Zlatan Ibrahimovic kuanza kuwafungia Mashetani Wekundu dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment