Diego Costa akishangilia na Marcos Alonso baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 59 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester City leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Willian dakika ya 70 na Eden Hazard dakika ya 90, wakati Gary Cahil alijifunga dakika ya 45 kuipatia bao la kufutia machozi Man City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment