Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Arsenal katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United usiku wa Jumamosi Uwanja wa London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Mesut Ozil na Alex Oxlade-Chamberlain, wakati bao la wenyeji lilifungwa na Andy Carroll PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment