• HABARI MPYA

    Tuesday, November 18, 2014

    MTIHANI AMBAO PACQUIAO AKIFUZU ATAPIGANA NA MAYWEATHER HUU HAPA NA NI JUMAMOSI HII CHINA

    Manny Pacquiao fights American Chris Algieri in Macau on Saturday night 
    Bondia Mfilipino, Manny Pacquiao (kushoto) akiwa na Mmarekani Chris Algieri kulia kutangaza pambano lao la mjini Macau, China Jumamosi wiki hii. Pacquiao akishinda pambano hilo, hapo ataweza kuingia kwenye majadiliano ya pambano dhidi ya bondia ambaye hajawahi kupoteza pambano, Floyd Mayweather Jr.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2837697/The-Billion-Dollar-Fight-moves-step-closer-Manny-Pacquiao-Floyd-Mayweather-finally-ring-make-richest-event-sporting-history.html#ixzz3JNtaUYF4 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTIHANI AMBAO PACQUIAO AKIFUZU ATAPIGANA NA MAYWEATHER HUU HAPA NA NI JUMAMOSI HII CHINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top