• HABARI MPYA

    Wednesday, August 13, 2014

    VAN GAAL AMPA ROONEY UNAHODHA MAN UNITED

    MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa England, Wayne Rooney ametuliwa kuwa Nahodha wa kikosi cha Manchester United na kocha Louis van Gaal.
    Mholanzi huyo amevutiwa shughuli ya mpachika mabao huyo wa England tangu aanze kazi Old Trafford na anaamini atakuwa chaguo sahihi kuwa kiongozi wa wachezaji wenzake katika timu.
    "Kwangu, wakati wote muhimu chaguo la Nahodha," amesema Van Gaal katika tovuti ya klabu hiyo. 

    Mteule: Wayne Rooney sasa ndiye Nahodha mpya wa Manchester United
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VAN GAAL AMPA ROONEY UNAHODHA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top