• HABARI MPYA

    Wednesday, August 13, 2014

    AZAM FC ILIVYOTOANA JASHO NA WASUDAN JANA KIGALI

    Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akimtoka beki wa Atlabara ya Sudan Kusini katika mchezo wa Kundi A, Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame jana Uwanja wa Kigali, eneo la Nyamirambo mjini Kigali, Rwanda. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.
    Mshambuliaji wa Azam FCm Kipre Tchetche akimtoka beki wa Burundi
    Shomary Kapombe akichezewa rafu na beki wa Atlabara
    Mshambuliaji wa Azam FC, Leonel Saint-Preux akimtoka beki wa Atlabara
    Kipa wa Atlabara, Jacko Mpenzi akidaka mpira wa juu mbele ya mabeki wake na wachezaji wa Azam
    Kipre Tchetche alikuwa mwiba kwa safu ya ulinzi ya Atlabara jana, lakini akashindwa kufunga tu
    Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akipambana na kiungo wa Sudan katikati ya Uwanja
    Kipre Tchetche akimuacha chini beki wa Atlabara
    Kipre Tchetche akimburuza beki wa Atlabara
    Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akiwa ameruka kupiga kichwa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOTOANA JASHO NA WASUDAN JANA KIGALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top