// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID IKIUA 2-0 NA KUTWAA NDOO KUBWA KULIKO ZOTE ZA UEFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID IKIUA 2-0 NA KUTWAA NDOO KUBWA KULIKO ZOTE ZA UEFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, August 13, 2014

    RONALDO APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID IKIUA 2-0 NA KUTWAA NDOO KUBWA KULIKO ZOTE ZA UEFA

    MABAO mawili ya Cristiano Ronaldo, moja kila kipindi yametosha kuipa Real Madrid ushindi wa 2-0 dhidi ya Sevilla, zote za Hispania Uwanja wa Cardiff City mjini Cardiff na kutwaa Super Cup ya UEFA.
    Sifa zimuendee nyota wa Wales, Gareth Bale aling'ara akicheza kwenye ardhi ya nyumbani na kutoa mchango mkubwa katika ushimdi huo. Ronaldo alifunga bao la kwanza dakika ya 30 na la pili dakika ya 49.
    Kikosi cha Real Madrid kilikuwa: Casillas, Carvajal, Pepe, Sergio Ramos, Fabio Coentrao, Kroos, Rodriguez, Modric, Bale, Benzema, Ronaldo. 
    Sevilla: Beto, Coke, Pareja, Fazio, Fernando Navarro, Alex Vidal, Krychowiak, Carrico, Vitolo, Suarez, Bacca.
    Wafalme wa Ulaya; Wachezaji wa Real Madrid wakifurahia na taji lao la Super Cup ya UEFA leo 
    Mambo safi kabisa: Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid Uwanja wa Cardiff CityNew Galacticos: Real Madrid's star-studded squad line up before the match
    Magalactico wapya: Kikosi kipya cha kwanza cha Real Madrid kilichotwaa Super Cup leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID IKIUA 2-0 NA KUTWAA NDOO KUBWA KULIKO ZOTE ZA UEFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top