MASTAA WA ARSENAL NA TOTOZ ZAO BAADA YA KUWASHIKISHA ADABU MAN CITY
Mmoja kigumu, mmoja tabasamu; Kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny (kushoto) alihudhuria sherehe za ushindi wa Ngao ya Jamii wa timu yake dhidi ya Manchester City akiwa mpenzi wake, Marina Luczenko (kulia)
Alex Oxlade-Chamberlain (kushoto) na Jack Wilshere wakiwasili Novikov Bar
Mchezaji mpya aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 30, Alexis Sanchez (kushoto) na mpenzi wake, Laia Grassi jana
0 comments:
Post a Comment