// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FIFA WAJA KUKAGUA SOKA LINAVYOENDESHWA BONGO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FIFA WAJA KUKAGUA SOKA LINAVYOENDESHWA BONGO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 09, 2014

    FIFA WAJA KUKAGUA SOKA LINAVYOENDESHWA BONGO

    MAOFISA wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wanawasili nchini kesho (Agosti 10 mwaka huu) kuangalia jinsi mchezo huo unavyoondeshwa nchini.

    Ujumbe huo wa FIFA utakaokuwa na maofisa sita, baada ya ziara yake utashauri jinsi ya kuboresha uendeshaji huo katika kikao cha pamoja kati yake na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kitakachofanyika mwishoni mwa wiki ijayo.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FIFA WAJA KUKAGUA SOKA LINAVYOENDESHWA BONGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top