Shuti la nguvu: Nyota wa Wales, Aaron Ramsey akiifungia Arsenal bao la pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii jioni ya leo Uwanja wa Wembley, London
Santi Cazorla akiifungia bao la kwanza
Having a gaze: Caballero flung himself at the strike but ended up being nowhere near it
Cazorla akichukua mpira kwa kocha Arsene Wenger ili aanzishe mchezo
Jesus Navas akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Wilshere
Yaya Toure mbele ya Wilshere 
Jesus Navas na Keiran Gibbs
Mathieu Debuchy na Kolarov
Nastasic na Fernando wakimdhibiti Sanogo



.png)
0 comments:
Post a Comment