![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche kulia akiinua chuma kwenye gym ya klabu hiyo, iliyopo Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam asubuhi ya leo huku kocha Joseph Marius Omog akimshuhudia. |
![]() |
| Power Gau; Mwaikimba akiinua chuma pembeni ya Omog |
![]() |
| Kiungo Kipre Michael Balou akianya mazoezi gym |
![]() |
| Beki David Mwantika akipasha gym |
![]() |
| Mwaikimba akiinua chuma |
![]() |
| Kocha Msaidizi wa Azam FC, Kali Ongala akiwapa maelekezo Didier Kavumbangu na Salum Abubakar 'Sure Boy' kulia |
![]() |
| Ismaila Diara akiinua chuma, huku Mwaikimba akitanua kifua kulia |
![]() |
| Didier Kavumbangu akiongeza nguvu mwilini |










.png)
0 comments:
Post a Comment