Karibu ulete mataji: Kocha mpya wa Manchester United,
Louis Van Gaal kushoto akikaribishwa katika ofisi yake mpya na Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ed Woodward makao makuu ya Mashetani hao Wekundu, Carrington.
+12
Van Gaal akiwa na Kocha Msaidizi, Ryan Giggs kushoto
+12
Aliwasili na ndege hii binafsi Uwanja wa Ndege wa Manchester leo asubuhi
0 comments:
Post a Comment