• HABARI MPYA

    Wednesday, July 09, 2014

    RAIS SIMBA SC ALIPOKUTANA NA RAIS MTARAJIWA WA NCHI

    Rais wa Simba SC, Evans Aveva kulia akizungumza na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa walipokutana juzi mjini Dar es Salaam. Lowassa anatajwa kuwa na nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama chake, CCM na tayari amekwishaanza kutabiriwa kuwa mkuu wa taifa wa baadaye. Aveva alichaguliwa kuwa Rais wa Simba SC Juni 29, mwaka huu.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS SIMBA SC ALIPOKUTANA NA RAIS MTARAJIWA WA NCHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top