• HABARI MPYA

    Wednesday, December 04, 2013

    STARS NA BURUNDI KATIKA PICHA LEO NAKURU

    Wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars wakimpongeza mfungaji wa bao lao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Burundi katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Callenge leo Uwanja wa Afraha, Nakuru, Kenya. Ushindi huo umeipeleka Stars Robo Fainali.

    Thomas Ulmwengu wa Stars akimpambana na Nsabiyumva Frederic wa Burundi

    Mrisho Ngassa na Nsabiyumva Frederic

    Frank Domayo akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Burundi

    Salum Abubakar 'Sure Boy' akimdhibiti Hakizimana Issa wa Burundi

    Amri Kiemba akimtoka Nduwarugira Christophe wa Burundi

    Hererimana Rashid wa Burundi akibutua moira mbele ya Himid Mao wa Stars

    Himid Mao wa Stars akiambaa upande wa kushoto

    Himid Mao akimfunga tela mchezaji wa Burundi

    Said Morad kushito na Ulimwengu wa Stars kulia wakiwania mpira wa kona, huku Mbwana Samatta kushoto kabisa akivizia utakapodondokea 

    Mbwana Samatta akifumua shuti langoni mwa Burundi

    Manahodha, Kevin Yondan wa Stars kushoto na hakimana Hassan wa Burundi kulia

    Kikosi cha Burundi leo

    Kikosi cha Stars leo

    Wazee wa jukwaanil Kutoka kulia Juma Luizio, Ismail Gambo, Aishi Manula na Elias Maguri leo walikuwa nje kabisa ya Uwanja

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STARS NA BURUNDI KATIKA PICHA LEO NAKURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top