• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 16, 2013

  ARSENAL NA BAYERN MUNICH, MAN CITY NA BARCELONA LIGI YA MABINGWA, MAN UNITED PEKEE WAPATA MCHEKEA

  KLABU ya Manchester City imepangiwa vigogo wa Hispania, Barcelona katika hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Arsenal itaamenyana na mabingwa watetezi, Bayern Munich.
  Didier Drogba atarajea kumenyana na Chelsea akiwa na timu yake, Galatasaray ya Uturuki.
  Manchester United ndiyo timu iliyopata wapinzani wepesi kati ya klabu za England, watamenyana na Olympiacos ya Ugiriki.
  Luis Figo akiwa ameshika jina la Barcelona wakati wa droo na chini ni Katibu wa UEFA, Gianni akichagua karatasi

  RATIBA KAMILI LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Manchester City v Barcelona: Feb 18 marudiano Machi 12. 
  Olympiacos v Man United: Feb 25 marudiano Mach 19.
  AC Milan v Atletico Madrid: Feb 19 marudiano Machi 11.
  B. Leverkusen v PSG: Feb 18 marudiano Machi 12.
  Lionel Messi will be coming to the Etihad
  Galatasaray v Chelsea: Feb 26 marudiano Machi 18.
  Schalke v Real Madrid: Feb 26 marudiano Machi 18.
  Zenit St Petersburg v B. Dortmund: Feb 25 marudiano Mach 19.
  Bayern Munich v Arsenal: Feb 19 marudiano Machi 11.
  Back to the Bridge: Didier Drogba returns to Chelsea with Galatasaray
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL NA BAYERN MUNICH, MAN CITY NA BARCELONA LIGI YA MABINGWA, MAN UNITED PEKEE WAPATA MCHEKEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top