• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 15, 2013

  SIMBA SC NA KMKM KATIKA PICHA LEO TAIFA

  Beki wa KMKM ya Zanzibar akiwa amelala chini kuondosha mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Simba SC, Edward Christopher katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC imeshinda 3-1. 

  Kipa wa Simba SC, Yaw Berko akidaka mpira miguuni mwa mshambuliaji wa KMKM, Ally Ahmed 'Shiboli'

  Beki wa Simba SC, Haruna Shamte akiwatoka wachezaji wa KMKM

  Mshambuliaji wa Simba SC, Betram Mombeki akiwatoka mabeki wa KMKM

  Uhuru Suleiman wa Simba SC kulia akimtoka beki wa KMKM

  William Lucian 'Gallas' wa Simba SC akipasua katikati ya wachezaji wa KMKM

  Kocha mpya wa Simba SC, Mcroatia Zdravko Logarusic akiwaelekeza wachezaji wake kucheza mpira wachini 

  Beki wa Simba SC, Henry Joseph akimdhibiti mshambuliaji wa KMKM, huku kipa Yaw Berko akiwa tayari kudaka

  Yaw Berko amedaka

  Beki wa KMKM akiondosha mpira miguuni mwa Betram Mombeki wa Simba SC

  Kiungo wa KMKM, Juma Mbwana akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Simba SC

  William Lucian 'Gallas' wa Simba SC kushoto na Iddi Mgeni wa KMKM kulia

  Iddi Mgeni akimpiga teke Hamisi Tambwe wa Simba SC

  Big Boss; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kushoto akiwa jukwaani kuangalia burudani leo 

  Omary Salum wa Simba SC kushoto akiambaa

  Kikosi cha Simba SC leo

  Kikosi cha KMKM leo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA KMKM KATIKA PICHA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top