• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 19, 2013

  AZAM FC WAFUNGA 'SOFA ZA HATARI' CHAMAZI, KOMBE LA SHIRIKISHO PALE PALE MWAKANI

  Mafundi wakiendelea na zoezi la uwekaji wa viti vya kisasa katika majukwaa ya Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi, Dar es Salaam. Klabu ya Azam inataka kuutumia Uwanja huo kwa michuano ya Afrika pia mwakani na inapambana na muda kuhakikisha uboreshaji unakamilika mapema ili mechi zake za Kombe la Shirikisho icheze hapo mwakani.
  Siti za kulala
  Hiki ni moja ya vyumba vya kubadilishia nguo kwa ajili ya timu, unaweza kujionea ni cha kisasa kabisa
  Mafundi wamemaliza kazi ya kupaka rangi na sasa mabinti wanafanya usafi
  Chumba cha mikutano, ni cha hadhi ya juu
  Eneo hili ndilo timu zitakuwa zinatokea kuingia uwanjani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WAFUNGA 'SOFA ZA HATARI' CHAMAZI, KOMBE LA SHIRIKISHO PALE PALE MWAKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top