• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 24, 2013

  SKWADI ZIMA LA AZAM TV LAENDA ZANZIBAR KURUSHA KOMBE LA MAPUNDUZI...CHEKI MIDUDE HIYO MELINI

   Timu nzima ya Azam TV Burudani kwa wote itakuwa Unguja na Pemba kuwaletea LIVE mashindano ya Mapinduzi Cup 2014.
  Timu za Simba, Yanga, Mbeya City, Unguja Combine, Pemba Combine, Chuoni, KMKM, AFC Leopards na Tusker toka Kenya na URA na KCC za Uganda zimethibitisha kushiriki
  Usiache kununua kisimbuzi (king’amuzi) chako cha Azam TV haraka uweze kujionea uhondo huu live, Mechi 26, viwanja viwili, timu 12 Bingwa mmoja
  Ratiba ya mechi ni mechi tatu kila siku saa 10:00 Jioni, Saa 01:00 Usiku na saa 02:30 Usiku kuanzia Tarehe 1 Januari 2014 hadi tarehe 13 January 2014  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SKWADI ZIMA LA AZAM TV LAENDA ZANZIBAR KURUSHA KOMBE LA MAPUNDUZI...CHEKI MIDUDE HIYO MELINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top