• HABARI MPYA

  Monday, December 16, 2013

  AVB ATIMULIWA SPURS BAADA YA 5-0 ZA LIVERPOOL JANA

  TOTTENHAM imemfukuza kocha wake, Andre Villas-Boas kwa kushindwa kuonyesha matunda ya usajili wa zaidi ya Pauni Milioni 107 alizotumia kupata nyota wapya White Hart Lane.
  Hiyo inafuatia Mreno huyo kuiongoza Tottenham kungwa mabao 5-0 nyumbani na Liverpool jana.
  Mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy amechukua uamuzi wa kuachana na kocha huyo kiasi cha zisizodi 24 baada ya kipigo cha jana.
  Wakati mgumu: Villas-Boas amedukuzwa Tottenham leo asubuhi baada ya kipigo cha jana cha 5-0 kutoka kwa Liverpool
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AVB ATIMULIWA SPURS BAADA YA 5-0 ZA LIVERPOOL JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top