• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 29, 2013

  ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND

  MSHAMBULIAJI Olivier Giroud amemaliza ukame wa mabao katika mechi saba baada ya kuifungia Arsenal bao pekee la ushindi Uwanja wa St James' Park katika mchezo wa Ligi Kuu England.
  Giroud alifunga bao hilo pekee dakika ya 65 akimtungua kipa Tim Krul kufuatia krosi maridadi ya Theo.
  Kwa ushindi huo, Arsenal inarejea kileleni kwa kufikisha pointi 42 baada ya kucheza mechi 19, ikiishusha Manchester City hadi nafasi ya pili kwa pointi zake 41.
  Mshambuliaji: Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Arsenal
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top