• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 14, 2013

  MERTERSACKER ATAKA KUMCHAPA OZIL BAADA YA MECHI ARSENAL IKIPIGWA SITA

  WAJERUMANI Per Mertesacker na Mesut Ozil 'waliwakiana' wakati wakitoka Uwanja wa Etihad baada ya Arsenal kufungwa mabao 6-3 na Manchester City.
  Beki Mertesacker ndiye aliyeonekana kumuwakia Ozil - mmoja wa rafiki zake wakubwa katika soka - na akamnyooshe kidole cha mkwara mzito kiungo huyo mwishoni mwa mchezo.
  Tena usirudie tena: Per Mertesacker (kulia) akimuwekea mikwara Mesut Ozil baada ya kipigo cha Arsenal cha 6-3 kutoka kwa Manchester CityBoiling over: Mertesacker continues to rage against his close pal
  Mkwara mzito: Mertesacker akiendelea kumfokea OzilSetting an example: Jack Wilshere (left) and Mertesacker salute the Arsenal fans
  Anaua soo: Hapa anawapigia makofi mashabiki akiwa na Jack Wilshere 
  A right earful: Mertesacker continues to rage
  A right earful: Mertesacker continues to rage
  Mertesacker akimchimba mikwara Ozil wakati wanatoka uwanjani
  Stunning result: Manchester City blew open the title race by thumping the leaders
  Hiki ndiko kilemeta balaa Arsenal
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MERTERSACKER ATAKA KUMCHAPA OZIL BAADA YA MECHI ARSENAL IKIPIGWA SITA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top