• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 21, 2013

  MAN UNITED YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ENGALND

  KLABU ya Manchester United imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi ya nne mfululizo, baada ya leo kuilaza West Ham mabao 3-1 Uwanja wa Old Trafford.
  Danny Welbeck alifunga bao la kwanza nyumbani tangu Oktoba 2012 dakika ya 26 na Adnan Januzaj akafunga la pili dakika ya 36 kabla ya Ashley Young kumaliza kazi kwa bao la dakika ya 72 na Carlton Cole akaifungia West Ham bao la kufutia machozi dakika ya 81.
  Mwendo mdundo: Adnan Januzaj akishangilia baada ya kuifungia Manchester United dhidi ya West Ham
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ENGALND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top