• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 21, 2013

  SIMBA SC ILIVYOIFANYIZIA YANGA SC NANI MTANI JEMBE LEO...HADI AIBU BABU!

  Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akiwatoka wachezaji wa Simba SC katika mchezo wa Nani Mtani Jembe jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 3-1.
  Mashabiki wa Simba SC kwa raha zao
  Ramadhani Singano 'Messi' akimlamba chenga Kevin Yondan wa Yanga. Hapa Yondan alimchezea rafu Messi baada ya kupigwa chenga 'mbaya sana' akapewa kadi ya pili ya njano
  Mpira nyavuni, Juma Kaseja akiwa ameruka kushoto mpira umetinga kulia mkwaju wa penalti wa Amisi Tambwe
  Messi akimkimbiza Haruna Niyonzima wa Yanga
  Mrisho Ngassa akipasua katikati ya wachezaji wa Simba
  Messi akimkimbiza David Luhende. Hapa Luhende alimchezea rafu Messi ikawa penalti ambayo ilifungwa na Tambwe bao la pili
  Haruna Niyonzima akipambana na wachezaji wa Simba
  Okwi akilalamika kwa refa
  Didier Kavumbangu akipambana
  Okwi akitafuta mbinu za kumtoka Haruna Shamte
  Frank Domayo ameanguka chini huku Jonas Mkude anaondoka na mpira
  Zahor Pazi anaambaa na mpira beki wa Yanga anagaagaa chini
  Kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda akiugulia maumivu baada ya kuumizwa katika kona na wachezaji wa Yanga
  Awadh Juma kulia akipiga kichwa pembeni ya David Luhende
  Mrisho Ngassa akimtoka Donald Mosoti wa Simba SC
  Haroun Chanongo wa Simba kushoto na Frank Domayo wa Yanga kulia
  Awadh Juma akimiliki mpira mbele ya David Luhende
  Kikosi cha Yanga leo
  Kikosi cha Simba leo
  Mashabiki wa Simba SC kwa raha zao
  Mashabiki wa Yanga huruma leo
  Kipenzi cha wana Simba, Zacharia Hans Poppe akifurahia baada ya mechi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOIFANYIZIA YANGA SC NANI MTANI JEMBE LEO...HADI AIBU BABU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top