• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 22, 2013

  PATI LA UBINGWA WA MTANI JEMBE SIMBA SC JANA...ILIKUWA RAHA BWAAAA!

  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe katikati akiwa ameinua Kombe la Mtani Jembe Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kuifunga Yanga SC mabao 3-1.
  Wachezaji wa Simba na Kombe na Medali zao
  Rais wa TFF, Jamal Malinzi akimkumbatia kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda
  Malinzi akimvisha Medali Ramadhai SIngano 'Messi'
  Malinzi akimpongeza Hans Poppe
  Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe akimkabidhi Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph Itang'are 'Kinesi' mfano wa hundi ya SH. Milioni 1
  Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh akipokea hundi ya Sh. Milioni 98.9
  Malinzi akimkabidhi Nahodha wa Yanga, Jerry Tegete Kombe dogo
  Nahodha wa Simba SC, Haruna Shamte akipokea Kombe
  Jonas Mkude akivalishwa Medali
  Amri Kiemba akivalishwa Medali
  Hans Poppe na Ivo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PATI LA UBINGWA WA MTANI JEMBE SIMBA SC JANA...ILIKUWA RAHA BWAAAA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top