• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 20, 2013

  WACHEZAJI MAN UNITED WAONYESHA 'UBINAADAM WAO' KRISIMASI

  WACHEZAJI wa Manchester United wamezuru katika hospitali mbili jijini humo jana.
  Katika ziara hiyo kwenye hospitali za Royal Manchester Children's Hospital na The Christie, wachezaji wa timu ya kwanza wakiwemo Michael Carrick, Marouane Fellaini na Adnan Januzaj waliwatakia watoto heri ya Krisimasi.
  Pamoja na hayo, wachezaji hao walioongozana na sanamu la Fred the Red, waliwasilisha zawadi kwa vijana hao na kupiga nao picha.

  Ubinadamu: Wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Manchester United wametembelea hospitali mbiliVisit: David de Gea (second left), Luis Antonio Valencia (back) and Michael Carrick (right) with one young fan
  Ziara: David de Gea (wa pili kushoto), Luis Antonio Valencia (nyuma) na Michael Carrick (kulia) akiwa na shabiki mtotoSpecial day: Marouane Fellaini (left) and Adnan Januzaj hand out presents wrapped by the United youth team
  Siku maalum: Marouane Fellaini (kushoto) na Adnan Januzaj wakikabidhi zawadi kwa All smiles: One young United fan shows his delight at meeting Javier Hernandez and Darren Fletcher
  Shabiki mmoja kinda wa United akionyesha furaha yae kwa Javier Hernandez na Darren FletcherPrivilege: Fletcher said it was a great honour to visit the children and bring them presents this Christmas
  Fletcher amesema ni heshima kubwa kutembelea watoto na kuwapa zawadi za KrisimasiDay to remember: Carrick, Valencia, De Gea and Ashley Young (right) pose with a fan and his mother
  Siku ya kukumbukwa: Carrick, Valencia, De Gea na Ashley Young (kulia) wakiwa na shabiki na mama yake
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WACHEZAJI MAN UNITED WAONYESHA 'UBINAADAM WAO' KRISIMASI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top