• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 26, 2013

  KOCHA MPYA AZAM ALIVYOANZISHA DOZI ZAKE LEO CHAMAZI...3-0 RUVU KAMA WAMESIMAMA

  Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Muamad Ismael Kone akimtoka beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 3-0.
  Kone alifunga bao moja katika ushindi huo
  Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka mchezaji wa Ruvu
  Brian Umony akimiliki mpira mbele ya beki wa Ruvu
  Beki David Mwantika akimtoka mchezaji wa Ruvu
  John Bocco akipambana na wachezaji wa Ruvu
  Kiungo wa Azam, Kipre Michael Balou akimdhibiti mchezaji wa Ruvu
  Kocha mpya wa Azam, Joseph Marius Omog aliiongoza timu katika mechi ya kwanza leo
  Gaudence Mwaikimba na beki wa Ruvu
  Wapenzi wa Azam jukwaani
  Waandishi maarufu wa habari za michezo, Mgaya Kingoba kulia na Amir Mhando kushoto walikuwepo Chamazi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA AZAM ALIVYOANZISHA DOZI ZAKE LEO CHAMAZI...3-0 RUVU KAMA WAMESIMAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top