• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 30, 2013

  BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA

  Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.
  Kitu cha maana
  Kila siti ina TV
  Kuna friji
  Kuna choo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top