• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 21, 2013

  KABURU ALIVYOMNANGA OKWI LEO TAIFA...

  Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Geoffrey Nyange 'Kaburu' katikati akiwa na fulana iliyoandikwa ujumbe wa kumbeza mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Emmanuel Okwi aliyehamia Yanga. Kaburu ambaye ni Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Simba SC, amebeba ujumbe unaosema wakati wote anamkumbuka marehemu Patrick Mafisango, Okwi kitu gani. Wengine kulia ni Kocha wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic na kulia na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Poppe   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KABURU ALIVYOMNANGA OKWI LEO TAIFA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top