• HABARI MPYA

    Wednesday, December 11, 2013

    MAN CITY YAMKALISHA BINGWA WA ULAYA NYUMBANI KWAKE, YATOKA NYUMA KWA 2-0 NA KUSHINDA 3-2

    KLABU ya Manchester City imewafunga mabingwa wa Ulaya Bayern Munich mabao 3-2 Uwanja wa Allianz Arena, Munich katika mchezo wa Kundi D, Ligi ya Mabingwa Ulaya.
    Thomas Muller alitangulia kuwafungia wenyeji bao dakika ya tano, pasi ya , Dante na Mario Gotze akafunga lpili dakika ya 12, kabla ya City kuanza safari ya kupanda mlima hadi kuibuka na ushindi huo.
    David Silva alifunga la kwanza dakika ya 28 pasi ya James Milner na Kolarov akafunga la kusawazisha dakika ya 59 kabla ya Milner kufunga la ushindi dakika ya 62, pasi ya Jesus Navas.
    Kwa ushindi huo, City imetimiza pointi 15 sawa na Bayern baada ya kucheza mechi sita, lakini mabingwa wa Ulaya wanaendelea kukaa kileleni mwa Kundi D, kutokana na wastani wao mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa.
    James Milner alifunga mabao mawili City ikiilaza 3-2 Bayern
    Man City could have gone through with another goal, based on their head-to-head record against Bayern
    Bayern inaendelea kuongoza Kundi D kwa wastani mzuri wa mabao
    Mishap: Pellegrini brought off Edin Dzeko in the closing stages and brought on Jack Rodwell
    Kocha Pellegrini alimtoa Edin Dzeko dakika za mwishoni
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YAMKALISHA BINGWA WA ULAYA NYUMBANI KWAKE, YATOKA NYUMA KWA 2-0 NA KUSHINDA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top