• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 14, 2013

  BIN KLEB ALIKUWA ANAZUNGUMZA NINI NA NGASSA HAPA?

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kushoto akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya klabu yake, Abdallah Ahmed Bin Kleb kulia Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana jioni. Ngassa alikuwa amewasili na kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' kutoka Nairobi, Kenya walipokuwa wakishiriki Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge wakati Bin Kleb na viongozi wenzake kadhaa, walijitokeza kuwalaki wachezaji hao.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BIN KLEB ALIKUWA ANAZUNGUMZA NINI NA NGASSA HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top