• HABARI MPYA

    Saturday, December 14, 2013

    SHIGONGO AWAMWAGIA DOLA WACHEZAJI STARS LICHA YA KUBORONGA CHALLENGE

    Mmiliki wa kampuni ya Global Publishers Limited, wachapishaji wa magazeti kadhaa maarufu nchini, likiwemo gazeti la michezo la Championi, Eric James Shigongo akiwahutubia wachezaji wa timu ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi, alipokutana nao asubuhi ya jana. Shigongo aliyewapatia kitita cha dola za Kimarekani wachezaji hao wagawane, alikuwa anasubiri kuunganisha ndege ya kwenda India, wakati Stars walikuwa wanasubiri ndege ya kurejea Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge nchini Kenya wakishika nafasi ya nne. Kulia ni kocha a makipa, Juma Nassor Pondamali.  
    Erasto Nyoni wa pili kushoto ndiye aliyepokea mzigo
    Shigongo akizungumza na wachezaji Stars

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHIGONGO AWAMWAGIA DOLA WACHEZAJI STARS LICHA YA KUBORONGA CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top