• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 17, 2013

  YANGA SC WANAVYOIPASHIA SIMBA SC PAMBANO LA NANI MTANI JEMBE...PATACHIMBIKA TAIFA JUMAMOSI

  Kiungo mpya wa Yanga SC, Hassan Dilunga akimdhibiti mchezaji mwenzake mpya, Nizar Khalfan katika mazoezi leo asubuhi Uwanja wa Bora,Kijitonyama, Dar es Salaam. Yanga inajiandaa na mchezo maalum dhidi ya watani wao Simba SC, wa Nani Mtani Jembe utakaofanyika Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar e Salaam. Simba SC wapo kambini Zanzibar nao wakijiandaa na mchezo huo unaoandaliwa na wadhamini wa klabu hizo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). 
  Kutoka kulia kipa Deo Munishi 'Dida', Nizar na Oscar Joshua
  Kulia Abdallah Mguhi 'Messi' na kushoto Hamisi Thabit
  Job Ibrahim akimiliki mpira pembeni ya Haruna Niyonzima
  Kulia kipa Juma Kaseja na kushoto Ibrahim Job
  Kushoto Hamisi Kiiza na kulia Job
  Mduara wa dua

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WANAVYOIPASHIA SIMBA SC PAMBANO LA NANI MTANI JEMBE...PATACHIMBIKA TAIFA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top