• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 30, 2013

  'CHICHI MAWE' ULINGONI KESHO NA MKENYA MSASANI CLUB

  Bondia Joshua Amukulu kushoto kutoka Kenya akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho kwenye ukumbi wa Msasani Club, Dar es Salaam. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


  Bondia Kalama Nyilawila kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Maokola  baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Desemba 31 siku ya jumanne katika ukumbi wa Msasani klabu Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'CHICHI MAWE' ULINGONI KESHO NA MKENYA MSASANI CLUB Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top