• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 16, 2013

  LIVERPOOL YAIPIGA 5-0 SPURS, SUAREZ AFUNGA MAWILI AKIWA NAHODHA

  MSHAMBULIAJI Luis Suarez ameendelea kuwa shujaa wa Liverpool baada ya leo kufunga mabao mawilikatika ushindi wa 5-0 dhidi ya Tottenham Hotspur katika Ligi Kuu ya England. 
  Suarez alifunga mabao yake katika dakika za 18 na 84 wakati mabao mengine yamefungwa na Henderson dakika ya 40, Flanagan 75 na Sterling dakika ya 89.
  Mshambuliaji huyo wa Liverpool, leo alikuwa amevaa beji ya Unahodha wa timu kutokana na kutokuwepo Steven Gerrard na akacheza mpira mkubwa sana. 
  Nyota inang'ara: Luis Suarez, alikuwa Nahodha wa Liverpool leo na akafunga mabao mawili
  Prolific: The skipper scored his 16th Premier League goal of the season
  Shangwe za bao
  Fine finish: Suarez scores Liverpool's first after Michael Dawson was caught napping on the ball
  Suarez anatisha
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAIPIGA 5-0 SPURS, SUAREZ AFUNGA MAWILI AKIWA NAHODHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top