• HABARI MPYA

  Saturday, December 21, 2013

  MANJI ALIVYOTIA HURUMA TAIFA LEO, ALIWAANGALIA KWA DHARAU WACHEZAJI WAKE

  Hawana maana; Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji akiwaangalia wachezaji wake (chini) wakati wanatoka mapumziko wakiwa wamekwishalowa 2-0 mbele ya Simba SC katika mchezo wa Nani Mtani Jembe. Simba SC ilishinda 3-1.
  Wachezaji wa Yanga wakitoka wakati wa mapumziko
  Anavyowatazama
  Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggrey Marealle
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANJI ALIVYOTIA HURUMA TAIFA LEO, ALIWAANGALIA KWA DHARAU WACHEZAJI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top