• HABARI MPYA

    Saturday, December 14, 2013

    SAMATTA NA ULIMWENGU WAIPA HEKO BIN ZUBEIRY, WASEMA NI BAAB KUWA 'DUNIA NZIMA'

    Mshambuliaji wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Thomas Emmanuel Ulimwengu kushoto akiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa blogu ya BIN ZUBEIRY, Mahmoud Zubeiry 'The Undisputed' Uwanja wa Ndege wa Kigali, Rwanda, ambako mchezaji huyo kwa pamoja na wenzake wa timu ya Tanzania Baa 'Kilimanjato Stars' walikuwa wanasubiri kuunganisha ndege ya kurejea Dar es Salaam kutoka Nairobi, walipokuwa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge. Chini ni Zubeiry ni mshambuliaji mwingine wa Mazembe, Mbwana Samatta. Wawili hao waliipongeza BIN ZUBEIRY Blog kwa kazi nzuri na wakasema chanzo chao kikubwa cha habari ni bongostaz.blogspot.com, ziwe za nyumbani au za kimataifa.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA NA ULIMWENGU WAIPA HEKO BIN ZUBEIRY, WASEMA NI BAAB KUWA 'DUNIA NZIMA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top