• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 23, 2013

  KOCHA MPYA AZAM FC AKIWANOA VIJANA CHAMAZI LEO

  Kocha mpya wa Azam FC, Mcameroon, Joseph Marius Omog akiongoza mazoezi ya timu hiyo asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
  Beki Said Mourad akitanua kifua
  Kiungo Salum Abubakar akipooza koo na maji ya Uhai
  Wachezaji wakifanya mazoezi
  Kulia Brian Umony kushoto Muamad Kone
  Sitaki mpira kama Yanga kufungwa tatu, sitaki
  Vijana wanapewa uwezo wa kumiliki mpira
  Wanamiliki mpira

  Mazoezi
  Kocha wa akademi, Vivik Nagul alikuwepo
  Viongozi walikuwepo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA AZAM FC AKIWANOA VIJANA CHAMAZI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top