• HABARI MPYA

    Friday, December 13, 2013

    MATAJIRI YANGA SC WAVAMIA UWANJA WA NDEGE STARS IKIWASILI NA KUWAKAMATA WACHEZAJI WAO...WAWALAMBISHA NYEKUNDU NYEKUNDU

    Viongozi wa klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam wakiwalaki wachezaji wao waliokuwa na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni ya leo. Kulia ni MUssKatabaro na Seif Ahmed 'Magari' na kushoto ni Abdallah Ahmed Bin Kleb. Wachezaji ni Hassan Dilunga kushoto na Mrisho Ngassa.   
    Seif Magari akimwagia nyekundu nyekundu Hassan Dilunga
    Bin Kleb akizungumza na Athumani Iddi 'Chuji' kulia na Kevin Yondan kushoto
    Bin Kleb akizungumza na Kevin Yondan kulia 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MATAJIRI YANGA SC WAVAMIA UWANJA WA NDEGE STARS IKIWASILI NA KUWAKAMATA WACHEZAJI WAO...WAWALAMBISHA NYEKUNDU NYEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top