• HABARI MPYA

    Wednesday, December 04, 2013

    SAMATTA, ULIMWENGU NA NGASSA WAANZISHWA PAMOJA DHIDI YA BURUNDI

    Na Mahmoud Zubeiry, Nakuru
    KIM Poulsen amewaanzisha pamoja Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu katika mchezo dhidi ya Burundi, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge unaonza mchana huu Uwanja wa Afraha, Nakuru, Kenya.
    Kikosi kamili cha Tanzania Bara ni; Ivo Mapunda, Himid Mao, Erasto Nyoni, Said Morad, Kevin Yondan, Frank Domayo, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Amri Kiemba, Thomas Ulimwengu, Mbwana Samatta na Mrisho Ngassa.
    Katika benchi kuna Deo Boniventura ‘Dida’, Athumani Iddi ‘Chuji’, Michael Aidan, Haroun Chanongo, Ramadhani Singano ‘Messi’, Farid Mussa na Hassan Dilunga.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA, ULIMWENGU NA NGASSA WAANZISHWA PAMOJA DHIDI YA BURUNDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top