• HABARI MPYA

    Friday, December 06, 2013

    MANDELA ALIKUWA KIPENZI CHA WANAMICHEZO, ALIKUWA MWANAMICHEZO MZURI

    Shujaa: Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, aliyefariki dunia Alhamisi, akimkabdihi Nahodha wa Springbok, Francois Pienaar Kombe la Dunia Uwanja wa Ellis Park, Johannesburg mwaka 1995
    True Lion: Mandela holds an England shirt given to him by David Beckham (left) in South Africa in 2003
    Simba kweli: Mandela akiwa ameshika jezi ya England aliypewa na David Beckham (kushoto) nchini Afrika Kusini mwaka 2003
    Touch of greatness: Mandela (centre) holds hands with Beckham (right) and Lucas Radebe in 2003
    Mandela (katikati) akiwa ameshikana mikono na Beckham (kulia) na Lucas Radebe mwaka 2003
    Knight to remember: Sir Bobby Charlton meets Mandela on a Manchester United tour in 2006
    Usiku wa kukumbukwa: Sir Bobby Charlton alikutana na Mandela katika ziara ya Manchester United mwaka 2006
    Timeless: Morgan Freeman as Mandela and Matt Damon as Pienaar in the 2009 blockbuster biopic Invictus
    Morgan Freeman kama Mandela na Matt Damon kama Pienaar mwaka 2009
    Honour: Pele (left) and Samuel Eto'o (right) present Mandela with a jersey to celebrate his 89th birthday in 2007
    Heshima: Pele (kushoto) na Samuel Eto'o (kulia) wakimkabidhi Mandela jezi katika sherehe ya miaka 89 ya kuzaliwa kwake mwaka 2007
    Gift: Sir Alex Ferguson hands Mandela a Manchester United shirt during the tour in 2006
    Zawadi: Sir Alex Ferguson akimkabidhi Mandela jezi ya Manchester United katika ziara ya klabu hiyo mwaka 2006
    The Kaiser and the President: Franz Beckenbauer with Mandela in 2003
    Franz Beckenbauer akiwa na Mandela mwaka 2003
    http://www.dailymail.co.uk/sport/cricket/article-2518583/Ashes-live-Australia-v-England--Adelaide-day-two.html
    Trophy: Former South African president Mandela poses with the World Cup in 2010
    Cristiano Ronaldo akiwa na Mandela mwaka 2010 na kulia Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini akiwa ameshika Kombe la Dunia
    Tribute: England and Australia (below) observe a minute's silence in memory of Nelson Mandela
    Timu za England na Australia (chini) zilisimama kimya kwa dakika kadhaa kumuenzi Mandela kabla ya kumenyana mjini Adelaide
    Tribute: Australia observe a minute's silence in memory of Nelson Mandela, who died on Thursday
    Icon: The crowd salute Mandela before day two of the second Ashes Test in Adelaide
    Alama: Umati ukimuenzi Mandela kabla ya kuanza kwa michuano ya Ashes Test mjini Adelaide
    Glove story: Mandela poses in 2006
    Nelson Mandela was a keen boxer in his youth
    Mpigania Uhuru: Mandela alikuwa bondia
    City gents: Robinho (right) and Emmanuel Adebayor (left) greet Mandela in 2009
    Robinho (kulia) na Emmanuel Adebayor (kushoto) wakimsalimia Mandela mwaka 2009
    Forward thinking: The Brazilian Ronaldo (left) and Mandela in Cape Town in 2005
    Mbrazil, Ronaldo (kushoto) na Mandela mjini Cape Town mwaka 2005
    Old Bill: Coach Jake White and captain John Smit take the Webb Wllis trophy to Mandela when they win in 2007
    Kocha Jake White na Nahodha John Smit wakikabidhi Kombe la Webb Wllis kwa Mandela waliposhinda mwaka 2007
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANDELA ALIKUWA KIPENZI CHA WANAMICHEZO, ALIKUWA MWANAMICHEZO MZURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top